The sports category has moved to a new website.
ADVERTISEMENT

Alikiba attacked after his post on late Patrick Peters

Patrick died on Tuesday

The father of three found himself on the wrong side after he posted a sad face emoji, which he captioned, “Ni mapenzi Ya MUNGU Hatuna Budi Kumshukuru Japo Tumeumia Mimi Ni Mmoja. wapo poleni Sana Wazazi Wa Mtoto ,”

A section of his followers then started to question why he shared the post despite the fact that he once said in an interview that his religion did not allow him to post death-related things.

Here is how they reacted

ADVERTISEMENT

mungu imoji marehem ana picha nyng sana bro dharau hazina nafasi kwa wakat kama huuu kaka

broh unayumba sana hii inaonisha jinsi ganii  hauna ushirikiano na wenzio unakosaje picha ya marehemu na kupost emoj broh unatuaibisha cana mashabiki zako kiukwelii hii post ifute tui haina maana bila picha

half kumbe na wewe fala ee kiba alisema ni vibaya kupost picha ya marehemu nakumtaja hebu kueni waelewa na hawa maninaa wenzio

dini hailuusu kupost marehemu Lakin Dini inaluuhusu kuzaa ovyo Dini inaluuhuusu mziki shubamitt

Nenda uko ndio mana ujui kuimba kwani picha yake una unajifanya wajua dini. .siungeacha kuimba basi

ADVERTISEMENT

Ilo katuni ndo nin sasa mzee?

kupost picha ya marehemu dini yangu hairuhusu mwisho wa kunukuu . hakusema msiba kwan msiba unapostiwa ?

Ali ulikosea usingesema dini yangu hainiruhusu kuposti marehemu! Wakati dini yako ina mengi ambayo hainiruhusu na unayafanya unaimba dini yako haikuruhusu, umezaa watt wa nje yani umezini dini hairuhusu, wewe ungesema tu mimi sioni kitu kizuri kumposti marehemu mwenyewe tu sipendezewi kupost basi

ADVERTISEMENT

Eyewitness? Submit your stories now via social or:

Email: news@pulselive.co.ke

ADVERTISEMENT