The sports category has moved to a new website.
ADVERTISEMENT

Mama Dangote attacked after post on Diamond’s daughter

Savage!!!

“Tiffah wewe ni Star kweli, Naona umechukua Nyota ya Baba yako mikono miwili, Maana Usuke, Usisuke Unyonyoke Nywele au Zipunyuke unabakia na U-STAR WAKO. Mungu akujalie ukue vema zaidi ya hapo Toto yake Simba inshaallaah. Tabu unawapa ila wengine unawakonga nyoyo zao. Kwa kifupi wewe ni MAJI  Hivi kuna mtoto mwingine STAR huko mnamjua nyie? ,” she said in her post.

ADVERTISEMENT

Here is how they reacted;

Wee mama acha ubaguzi wa kijinga Dylan ni damu yako tuu hata ufanyaje huwezi badilisha kwamweee hata kama ujampost atabaki kuwa mtoto wa Diamond.

Daah firaun mjawalaana ulozaliwa kwenye shida mlimbuken waumaarufu mfyuu mkuu wawachawi wote umemzidi hadi zedkazozoradanda mfyuuu.

We mama ww unaitaji kuwa mfano katika jamii na unapata tabu sana kama haujatupa vijemebe hauja pata Amani kweli pole sana maana uyo ni mtihani katika maisha yako.

haya maneno sio ya kuandika kwenye post yam tot malaika kama Tiffah.

ADVERTISEMENT

Mama haipendezi hivyo kifo hakipo mbali hebu muogope Allah.. hata kama ni kiki bado haifai kuandika hivyo, kama mungu amekujalia kupata utapata tu bila kuandika maneno mabaya humu… wewe ni mkubwa ujue.

Natamani sana ungekuwa mama mkwe wangu Au ningezaa na mwanao then unifumbie hayo mafumbo yako, aisee kisabengo kingekuishawewe maana unaonekana hukufunzwa kwenu ndio maana hata wanaume wote miwili walikushindwa umeishia kujioa kwa mtoto lika la mwanao mbwa wewe @mama_dangote.

ADVERTISEMENT

Eyewitness? Submit your stories now via social or:

Email: news@pulselive.co.ke

ADVERTISEMENT