Fast-rising Tanzanian stand up comedian and actress Boss Martha has passed.
RIP!
Recommended articles
The news of her demise broke on Wednesday morning, as fellow celebrities and comedians sent their condolence messages to her family.
It is, however, not clear what led to her death.
Bongo actresses Muna Love and Jacqueline Wolper also led other celebrities and Tanzanians in mourning Boss Martha.
wolperstylish Nisamehe Mimi matha Nisamehe Mimi mdogo wangu Basi Njoo unambie syo kweli plz 😭😭
munalove100 MSALIMIE PATRICK WANGU KAA NAE BASI UKO MWAMBIE NAMPENDA 😭😭😭😭 MWEEH MATHA UMEMALIZA KAZI UMENDA KUPUMZIKA .R.I.P 🙏
fantasy_pol Jamani 😭😭😭😭 Mungu wapokee marehemu woote waliotangulia mbele ya haki 🙏
bekaflavour1Dah inalilah wainalilah rajun kapumzike kwa Amani we dada wewe #Martha R.I.P 😭😭😭😭
mr_beneficial Martha Martha my friend IMENIUMA SANA😭😭 Dah Gone too soon #rip @bossmarthatz
Na kama #timamucomedy tutakumbuka daima
Kama mwanafamilia wa #chekatu tutakukumbuka daima Martha 😓😓
bwanamjeshi 😭😭😭 poleeeeeni sana Dingiii . she was are real women of steel . mpiganaji yaan daah Mungu mpe pumziko la Amani 🙏🙏 zimenshtua sana hizi habari poleeeni sana famili ya @cheka.tu
carrymastory Duh R.I.P Martha kama utani Vile 😭😭😭 Pole @mbosso_ Umebaki wewe ndo baba wewe ndo mama kwa mtoto wenu Mlee Vizuri Mama yake apumzike kwa Amani Huko aliko 🙏