The sports category has moved to a new website.
ADVERTISEMENT

Zari, Diamond and other celebs mourn famous Tanzanian kid who died in Nairobi

Rest in Peace Young Angel

Celebrities took to social media to mourn the 7 year-old, who became famous due to his extra ordinary singing skills. He was also a master of the Bible and his preaching skills at a very tender age touched many

Here is what the celebs wrote

ADVERTISEMENT

Diamond Platnumz

“My God Rest Your innocent Soul in Peace”

Zari Hassan

“My heart bleeds with you Muna....He was one smart boy, may his soul rest in peace “

Tundaman

ADVERTISEMENT

“Inna lilah wainna ilaihi rajiun...mtoto wangu rafik yangu pumzika kwa amani...najua unaenda kuungana na malaika wenzako mahali pema peponi aaamen.....”

Babu Tale

“Kazi ya Mungu aina makossa”

Nandy

“Patty jaman! hatuwez kupinga mipango ya mungu! rest in peace little angel, poleee dada angu ”

ADVERTISEMENT

Barnaba Classic

“Mtoto Anauma Yani Ana Tofauti na mama Poleni Wote Familya Jamani ninaamini Yuko salama mwanzo wa pumzi adi mwisho wa pumzi yake mana ni malaika wa mungu Na ajui chochote mungu Ailze Rohoo yake pema , nimewaza Steve wangu Maria wangu”

VJ Penny

“Heaven has gained an Angel. Rest is perfect peace Patric  Mungu akupe nguvu kwenye kipindi hiki kigumu."

Queen Darleen

ADVERTISEMENT

“Njia yetu Moja .., REST IN PEACE PATRICK, Pole mami ”

Esma Platnumz

“Daah inauma sana kwa mzazi unampa mapenzi yote alafu gafla hutamuona Tena Mungu awatie nguvu wazazi... najaribu kuvaa viatu vya wazazi hasa wa kike Mungu mtie nguvu daah Mungu wangu”

Lil Ommy

“Pumzika kwa Amani. Pole sana Familia na kila aliyeguswa na msiba wa mtoto huyu.”

ADVERTISEMENT

Maua Sama

“Mungu akupi mitihani usioweza kuishinda... hakika na huu utaushinda mtoto mzuri .  Babyboy”

DJ Ommy Crazy

“Rest In Peace son, pole saana ”

Linex Sunday Mjeda

ADVERTISEMENT

“Aisee daaaah Rest in heaven little angel uncle PAlie kutoa amekutwa Jina lake Lihimidiwe”

Faiza Ally

‘Patrick, Mungu Wangu uwiiiiii siwezi kuzuia machozi ...sipati picha , sielewi  uko kwenye maombi yangu mammy I feel your pain dah  RIP baba”

Dayna Nyange

“Jamani jamani umeniumiza we mtoto .... Dah  sijui mama yake yu Hali gani sa izi eeh mola ..... Dah nisije kukufuru  Malaika  Pole sana  mungu awape nguvu wapendwa”

ADVERTISEMENT

Nedy Music

“Maombi Yangu Kwa Familia Nzima, Mungu Awape Nguvu Kipindi Hiki Kigumu”

MC Pilipili

“Kwaheri  tulipenda sana ubaki ila MAPENZI YA MUNGU YAMETIMIZWA!!”

Juma Jux

ADVERTISEMENT

“R.I.P young king ”

Kale Jeremiah

“hAKIKA WEWE MUNGU HUFANYA JAMBO LAKO KWA WAKATI WAKO. HAKIKA NI MAUMIVU MAKALI SANA KWETU BINADAMU ALIKUWA MDOGO SANA NA ALIKUWA NA NDOTO. MUNGU KAWATIE NGUVU NA KUWAFARIJI WAZAZI WA HUYU MTOTO MAANA HAKUNA NENO LA MWANADAMU LAWEZA KUWAFARIJI. NAJUA ULITAKA AWE MBINGUNI NA WEWE. TUTAONANA SIKU MOJA. JINA LAKO LIHIMIDIWE.”

Mange Kimambi

“Dah, Pole Muna, tumbo lote linaniuma. R.I.P sweet little Baby”

ADVERTISEMENT

Zamaradi Mketema

Mobosso

“Njia yetu Moja .., REST IN PEACE PATRICK “

Hanscana

"Imani yangu inaniambia upo Mahali salama zaidi ya hapa. Rest In Peace PATRIC ”

ADVERTISEMENT

Mama Dangote

"Daah! Inna llillah waiinna illaih rajiuun Pumzika kwa Amani Mtoto. "

Paul Makonda

“Hata sijuwi cha kusema .Faraja yangu ni Juu ya mtoto huyu ktk maisha yake alimjua Yesu. Mungu akupokee uncle wangu”

Aunty Ezekiel

ADVERTISEMENT

“Kila nikijaribu kuvaa viatu vyako Nashindwa Yesu wangu Mungu wetu Muweza wa Yote ndie Muamuzi wa Yote RIP mtoto mzuri Patty..... Mungu Akutie Nguvu Mama kwenye kipindi hiki zaidi ya Kigumu Dah!”

Ray the Greatest

“I Got Nothing To Say But God Knows Everything .We are all belongs to him. R.I.P Mtoto We2 Mbele Yako Nyuma ye2. ”

Romy Jons

“Eeeeh Mungu eeeeeh!!!!!Daaaaah!!!!IPe nguvu familia ndugu na jamaa kwa ujumla hususan kwa mama ake mzazi...najua jinsi anavyojiskia sasa hivi....Mpe nguvu IN SHA ALLAH!!!!!”

ADVERTISEMENT

Irene Uwoya

“Hapana jamaniii inaumaaa daaahhh!yani sijui upo kwenye hali gani maana kunavitu vinatokea kwenye maisha ata kulia huwez ,kuongea huwez ...yani atauwelezeee inavyooma huwez sababu hata wewe mwenyewe unakuwa hujui!!!MUNGU akusimamie mama ”

Hamisa Mobetto

“Yani sijui niandike nini, inna lillahi wa inallah-e-raji'oon .... R I P handsome wetu jamani,"

ADVERTISEMENT

Eyewitness? Submit your stories now via social or:

Email: news@pulselive.co.ke

Recommended articles

Health condition that forced SDA music DJ Kezz to go bald

Health condition that forced SDA music DJ Kezz to go bald

How 'Sultana' actor Verity Wakilo beat breast cancer to shine on TV

How 'Sultana' actor Verity Wakilo beat breast cancer to shine on TV

She is fine - Family gives clarity after viral video of former NMG journalist

She is fine - Family gives clarity after viral video of former NMG journalist

Street name vs real name: 69 peculiar names of Kenya's most popular celebs

Street name vs real name: 69 peculiar names of Kenya's most popular celebs

Pritty Vishy apologises to fans as she reveals truth about Kiengei deals

Pritty Vishy apologises to fans as she reveals truth about Kiengei deals

Bahati shares deepest regret about Mr Seed’s late mum

Bahati shares deepest regret about Mr Seed’s late mum

Even spouses can’t be trusted - Bishop Kiengei reacts to Dama's leaked phone call

Even spouses can’t be trusted - Bishop Kiengei reacts to Dama's leaked phone call

Last conversation Mr Seed's mum had with her in-laws before untimely death

Last conversation Mr Seed's mum had with her in-laws before untimely death

Heartbreaking story of award-winning former NMG journalist now living in the streets

Heartbreaking story of award-winning former NMG journalist now living in the streets

ADVERTISEMENT