Reactions after Wema Sepetu, Mama Dangote's passionate hug [Video]

They hugged in front of Diamond

Diamond’s sister captioned the video with the words, “Haya mtu na shoga ake Eti wameonana mmmh mnajikuta nani sijui...  & ”

King Salah's celebrations

This happened after they all met at Zamaradi Mketema’s son King Salah’s 40 days celebrations.

Mama Dangote and Wema Sepetu have remained to be close friends, even after the actress parted ways with her son.

Here are the reactions;

valentinemarwa Wema ndio mwanamke pekee anae mpenda Naseeb kwa dhat maan tokea naseeb hajajulikana hajawa na muomekano mzur kama alio nao sasa wema alimchagua na kmumpenda kwadhat jambo ambalo sidhan kama Zari , Hamissa na wanawake wengine wangeweza kufanya wakat ule Naseeb hajawa na jina kabx aaa xo tukija kwenye mapenz ya kweli na msichana anae mfaaa Naseeb kwenye maisha yake ni Wema Sepetu peke yake wengine wapo kwa sabab ya hela na uzur na umaaruf alio nao kwa sasa.

missgeofrey Huyo nae Mie naona km anajichelewesha tyuu afanye Mambo yke. Mwanamke mwenye mcmamo Zar pke yke,hawa wengine cjui njaa. nahuyu uyuda C alisema bas.

cathyluwa ILA KIUKWELI MI NAPENDA DIAMOND AMUOE WEMA JAMANI

zaybatty Maskin diamond kila akiwa karbu na wema ana Furah tu mpk jino la mwsho

Video

Reactions after Wema Sepetu, Mama Dangote's passionate hug

rechoeditha@wema_kadinda jamani nimecheka anatamani apae akawakumbatanishe wema na mama dangote

milimolovely Mmmnh @harmonize_tzulikua nafuraha hatari ila tuache utani @wemasepetu anarobo yake jamani lol @_esmaplatnumz mwambie mdg ako amuoe @wemasepetu cjui hy siku itakuaje

happy_balama ila jamani nassibu na wema wanapendezea sana kiukweli@esmaplatnumz

mireilledusabe Eeee jamani mnapenda zar sna,wema mnamsahau na hamisa mnamtukan sana ningekua niko mond ningewaowa wote 3

firstlady_74 Diamond muoe wema jomoniiii mnapendezaaa wenyeweeee

waithera_brandih@tiziana_osnat and who confirmed that she can't give birth?????? its God's Timing

salie54 What people doesn't understand is Wema has a big heart.She hates no one na hajawahi watusi hata siku moja familia ya Diamond even after kuachana. I realised it when Zari's mom died + Ivan she sent condolences in instangram and asked people to pray for Zari.Kuzaliwa na roho nzuri it's a gift from God because not everyone has.

nandyluyzer_og Wangerudiana tu hawa watu ili mama dangote awe na Amani yote ya mkwewe nawapenda san hawa watu warudiane

zamoyonikibella Kicheko cha Harmonize kinaashiria kuna kitu kipo kati ya Wema na Dai tutasikia tu siku sio nyingi sana duh! Ila kacheka sana mpaka kajisahau!

missgeofrey@_bint_massa shoga yng ww unampenda,mie amenihapa alafu hana mwanaume wa maana nn njaa. Eti shoga yke mama dangote Mie namuona hajielew kabisaaaaa

missgeofrey@nancysunday9 anapoteza muda wke bure,ahangaikie uzaz Kik za nn anajichelewesha tyuu. Anaokana hana mwanaume wa maana kwasasa.

JOIN OUR PULSE COMMUNITY!

Eyewitness? Submit your stories now via social or:

Email: news@pulselive.co.ke

Recommended articles

Why do guys still masturbate when they have girlfriends?

Why do guys still masturbate when they have girlfriends?

Police uniform, weapon are ID - Mutyambai addresses Boniface Mwangi's trending clips

Police uniform, weapon are ID - Mutyambai addresses Boniface Mwangi's trending clips

If I rise, let me rise with other people - Crazy Kennar scoops 3 titles at the Pulse Influencer Awards

If I rise, let me rise with other people - Crazy Kennar scoops 3 titles at the Pulse Influencer Awards

I spent Sh800K - Vera speaks on begging for money to fund lavish Baby shower

I spent Sh800K - Vera speaks on begging for money to fund lavish Baby shower

Zuckerberg loses $6 billion hours after Facebook, WhatsApp, Instagram crashed

Zuckerberg loses $6 billion hours after Facebook, WhatsApp, Instagram crashed

Cooking for Drake, collaboration with Wizkid and other things Tems revealed in a Twitter Q&A

Cooking for Drake, collaboration with Wizkid and other things Tems revealed in a Twitter Q&A

Butita recalls life-changing phone call and secrecy involved in working for Netflix

Butita recalls life-changing phone call and secrecy involved in working for Netflix

Burna Boy gives a tour guide of his palatial home in Lagos

Burna Boy gives a tour guide of his palatial home in Lagos

I need cooking classes – shouts DJ Mo after being embarrassed by daughter Ladasha

I need cooking classes – shouts DJ Mo after being embarrassed by daughter Ladasha