The sports category has moved to a new website.
ADVERTISEMENT

Sonko shames Governor Obado over Sharon's death [Video]

Carry your own cross!

“Watu wameongea mambo ya Sharon Wakiogopa, the main suspect ni governor mwenzangu, Governor Obado shame on you. Post mortem imefanywa jana na sijui kwa nini mnaogopana post mortem inasema Sharon alidungwa kisu mara sita akadungwa mpaka tumbo kwa sababu Governor Obado aliambia Sharon atoe mimba akakataa, kwanini hakutumia condom?” he said.

ADVERTISEMENT

“Ka hivyo mimi nasema DPP Noordin Haji, Kinoti wacheni kucheza na wakenya waliowengi. Governor Obado awekwe cell ashtakiwe na murder akwende kabisa uko jela.Tusidanganyane uchunguzi umetoka wewe ni governor beba cross yako. Na mimi naambia Nanok asituite kwa council of Governors kufanya press conference ya kutetea murderer, hatuwezi kusaidia murderer,” said Mike Sonko.

Video

JOIN OUR PULSE COMMUNITY!

Unblock notifications in browser settings.
ADVERTISEMENT

Eyewitness? Submit your stories now via social or:

Email: news@pulselive.co.ke

ADVERTISEMENT